LEO BARABARA ZOTE ZA JIJI LA DAR ES SA;AAM KUELEKEA MWENGE - TANGAZO
ANOINTED MINISTRY 2024
-
𝗘𝘄𝗲 𝗺𝘁𝘂 𝘄𝗮 𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 𝗵𝗶𝗶 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗻𝗶 𝗹𝗲𝗼 𝗹𝗲𝗼
𝗹𝗲𝗼 𝗹𝗲𝗼 𝘁𝗮𝗿𝗲𝗵𝗲 𝟮𝟬𝘁𝗵 𝗔𝗽𝗿𝗶𝗹 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗗𝗮𝗿 𝗲𝘀
𝗦𝗮𝗹𝗮...
Wednesday, December 22, 2010
KIMYA KINGI??....MNM NEW SEASON COMIN' SOON 2011...
Naweza sema ilikuwa ni kipindi kirefi na kimya kirefu sana japo nilikuwa nadondosha vitu kimachalechale sana...but now fans wa MNM Blog kaeni tyr kwa msimu mpya wa 2011...kama kawa kama dawa wale woote ambao mlimiss ishuz kibao...kama ma-infoz na ishu ka hizo stay tuned..narudi upya kabisa na segments za hatari na infoz za kumwaga..hiyo ni katika msimu mpya wa Muziki Na Maisha Blog 2011..MNM "here we stay"....
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:38 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment