BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Friday, March 26, 2010

KIDBWOY...One among my ROLE MODELS

KidBwoy


Naweza kusema mi ni mmoja kati ya wachache walioshuhudia step by step ya mafanikio kibao ya huyu mchizi hapo juu,since way back 1999 wkt mi najoin 4m five pale Lake High School-Mwanza jamaa alikuwa anamalizia 4m four,2kafahamiana japo hatukuwa karibu kivile but mpaka leo sijajuta kumfahamu mchizi huyu kwakweli,coz amekuwa ni kama mtu aliye mbele yangu akiniongoza kwa kila jambo japo yeye hana habari na jambo hili,kuanzia carrier ya utangazaji since ameingia R.F.A mpaka michakato mingine kibao ya kielimu na kijasiriamali,ana hold masterz now if am not mistaken na TETEMESHA RECORDS sasa imekuwa kampuni rasmi,hizi si hatua za kubeza hata kidogo,Bigup kaka,nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu sana production carrier yake tangu anaanza mpaka sasa,na nafurahi kuwa mmoja wa watu wa kwanza-kwanza kabisa kuzicheza na kuzitangaza kazi za TETEMESHA za awali kabisa,am proud of you mkubwa,safari bado ndefu na najua utafika japo kadri unavyokuwa mkubwa ndivyo na ndoto zinavyokuwa kubwa pia.HONGERA SANA.


On the radio Show....."Showtime" au Weekend Fever" km sikosei

BREAKING NEWZ.....MAMA JIGGA IS PREGNANT.

Ni habari mpya nilizozipokea muda si mrefu kupitia mtandao mmoja nnaouamini sana,ishu ni hivi Beyonce Knowles a.k.a Mrs Sean Cuter ni "mja-mzito",ni baada ya watu kuvumisha sana siku za nyuma juu ya ishu hii but now ni kweli imetokea na mtu mzima Jay Z ame'comment kwa kusema kwamba ni kweli,amefurahi na anasubiri kwa hamu sana kuitwa baba toka kwa mkewe mpendwa "Diva" lakini hii haitakuwa mara ya kwanza kwa mkali huyo wa "Young 4eva" kuitwa mshua coz tayari alishafanya mambo kama haya kwa mademu wengine longtime,so tuiskilizie hii au vp???????

Beyonce Knowles

Thursday, March 25, 2010

KESHO NTAKUPA MCHONGO WA HUYU MCHIZI,ANAITWA R-DUB


R-Dub,mtangazaji wa kipindi cha "Sundaynight Slowjams"


Sundaynight slowjams studios

R-DUB akijiandaa kwenda studio kufanya sundaynight slowjams

Wednesday, March 24, 2010

I Made This Guy

Fatma Shemweta with Ezden the Rocker

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,anaitwa Ezden Jumanne aka The Rocker(former called himself Juneidy tha Mc),he's doin' a very gud job now @Kiss fm-Mwanza and Star tv.Nilikutana nae kama miaka mitatu hivi iliyopita na namna tulivyokutana its a very long story ambayo tunaijua wenyewe but nadhani ilipangwa iwe vile ili tuwe hivi tulivyo now,he is my best friend since tha 1st day we saw each other and after that time everything has been a history to us,we did a diploma in the same class na tulikuwa viti vinavyofuatana,kiukweli nikikusikiliza kaka nafurahi sana na najikuta najisemea mwenyewe "we made the dream come true".Am proud of you.
Mcheki katika ezdentherocker.blogspot.com

R.i.P


Mchizi ndo alikuwa anashikilia rekodi ya dunia ya mtu mfupi kuliko wote,amefariki wiki iliyopita,usishangae hicho ni kiatu tu kama ulichovaa wewe.R.i.P

Akhsante kwa kunichunia


Miaka miwili iliyopita ulikuwa rafiki yangu sana,nakumbuka tulikuwa tunapiga stori hata mpk saa saba za usiku,kiukweli nilikuwa na wakati mzuri sana,nilifurahi na kuenjoy ile mbaya,u r cute,charming and kind,lakini kwanini siku hizi hunikumbuki???nilikukosea nini???nambie niseme SORRY,simu yako haipatikani,nadhani umebadili namba,kwanini???nikumbuke basi jamani???mimi nakukumbuka sana coz daily lazima nipite kiduchu.blogspot japo kukuona tu.NIMEKUMISS.

Nakuaminia mkubwa!!!!!

Bonnie Zacharia katika studio za Ebony fm

Since long time namsikiaga huyu mchizi bana,but sikupataga bahati ya kumwona,nyuma kwenye miaka ya 2004 nlipata nafasi ya kwenda Musoma onetime na pia nkapata nafasi ya kula bata kidogo pale Metropole Disco lakini kwa bahati mbaya jamaa that day hakuingia mzigoni daaah!!!!!!Nakumbuka mshikaji wangu Dj Tass ndiye aliyekuwa mzigoni siku hiyo(Now he's doing ril gud pale Magic fm),lkn nakumbuka siku isiyokuwa na jina nikaibuka hapa mzigoni nikakutana habari kuwa leo hutafanya kipindi na "Mama Kiduchu" tena(aliyeshika show baada ya Bandago kuondoka),nkauliza ntafanya na nani???nkajibiwa kuna presenter mpya anaitwa Bonnie Zacharia,duh!!!!nkashtuka kidogo coz nlikuwa nishamzoea Aggie wng jamani,nkauliza ametoka wapi??nkajibiwa ametoka Musoma,nkajiuliza Musoma????4 the very 1st time nkasikia sauti yake na tukafanya kipindi vzr,mpk narudi zangu hom nlikuwa sijajua kuwa ndie Dj Bonsly nlokuwa namsikiaga,the next day nkaingia mzigoni tena bahati nzuri nkakutana na Mkurugenzi wng Mr. Evalist Mfugale,katika story za hapa na pale ndo akaniambia kuwa mchizi alikuwa V-fm na ana maujuzi ya kutosha sana katika mashine,sasa hapo ndo nkagundua kumbe Dj Bonsly ndo Bonnie Zacharia.Kaka nakuaminia sana kiukweli coz uko longtime kwenye game so naamini nna mengi ya kujifunza toka kwako,kazi nzuri,mtu poa na Mungu akuzidishie zaidi na zaidi na zaidi.

Tha best Album cover i ever seen

Hii ndio album cover ambayo imechukuwa jackpot kwenye covers kibao za albam za mtoni nlokwishawahi kuziona,before sjaiona hii album cover ilokuwa jackpot ni albam ya mtu mzima SCARFACE ya mwaka 1995 kama unakumbuka vizuri,albam iliitwa "The Diary",so kwa maana hiyo basi hii imeizidi ile,hii ni albam ya "dogo" Wayne(mi namwita dogo n don' ask me why) inaitwa "The Cater III.Kazi imeanza sasa.