BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Friday, August 27, 2010

"ITS MY DAY" SAYS JOH MAKINI....

JOH MAKINI

Nimeingia facebook sasa ivi nikakutana na hii toka kwa Mwamba wa Kaskazini Joh Makini...."Namshukuru Mwenyezi Mungu, na wapenzi wa muziki wangu kuwa pamoja nami........ts Johmakini's birthday!!!!!!!!!!!!!!!!!!............cheers!!!!!!!" Says Joh Makini...kifupi sina mengi ya kusema ila Mungu akuzidishie miaka kibao mpaka ushindwe kukumbuka birthday yako kama leo..Happy Birthday Joh Makini.

Thursday, August 26, 2010

"FAN OF A FAN" ALBUM(CHRISS BROWN&TYGA)..OFFICIAL COVER..

"FAN OF A FAN"(COVER)

Nilichokuwa nakijua mimi ni kwamba Chriss Brown yuko "vere vere" busy akipika albam yaitwa "A fan of a Mixtape" na tayari ana mkono uko media waitwa "Deuces" ambao ndani kuna Tyga na Kevin Mccall..unasumbua sana...but sasa nashangaa kidogo kukutana na hiki kitu kingine kuwa Chriss Brown na Tyga wa Young Money wanatoka na mzigo wa pamoja waitwa "Fan of a fan" na tayari wameshatoa kunako mitandao kibao cover itakayotumika juu kabisa ya Cd yao hiyo...hii inakuwaje??hebu ngoja tuone..

HAPPY BIRTHDAY CASSIE....

CASSIE

Leo tar 26 Aug ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mwanadashosti kutoka BadBoy Ent...Cassie....ambaye alizaliwa tar km ya leo mwaka 1986..So km nawe unasheherekea siku yako ya kuzaliwa leo tambua kuanzia sasa kuwa unashea birthday yako na star huyu..Happy birthday Cassie..

Wednesday, August 25, 2010

ZINANIKUMBUSHA MBALI..."REGULATE-G FUNK ERA" BY WARREN G


Studio album by Warren G
Released June 7, 1994
Recorded 1993-1994
Genre West Coast Hip Hop, G-Funk
Length 34:50
Label Def Jam, Violator
Producer Warren G
Professional reviews
Warren G chronology

Regulate... G Funk Era
(1994)
Take a Look Over Your Shoulder
(1997)

VOTE!VOTE!VOTE!

A GOOD START ZAMARADI MKETEMA...

"TAKE ONE" TV SHOW HOST

Nimepata nafasi ya kuandika haya katika ukurasa wangu kwenye FACEBOOK...
"Show imeanza rasmi jana saa tatu kamili usiku...vizuri sana..olmost evrythng was pretty and perfect..isipokuwa vitu vidogovidogo sana ambavyo am sure vitarekebika kadri time itakavyokuwa inasonga mbele..huu ni MWANZO mzuri kwako na jivuno zuri kwa crew nzima ya kipindi"

"SUNRISE SHOW" YA TIMES FM NOW ON FACEBOOK

VICHWA VYA SUNRISE

Ni show inayogonga vichwa vya watu kibao hivi sasa hapa town,show ya asubuhi..zile time watu wanajongea kunako ofisi kuwajibika..kuanzia saa 12:00-3:00...Masoud kipanya(unamkumbuka nadhani), Scholastica Mazura, Michael Saduka na Shaaban Kondo katika hints za kimichezo..sasa wote hawa utaweza kuwapata kupitia ukurasa mpya wa kipindi katika facebook..hivyo kujua na pia kuweza kuchangia yanayozungumzwa..ni interactive show..so waweza changia kupitia ukurasa huo hata kama husikilizi redio kwa wakati huo...good job vijana.

TODAY ON MNM MEETS.....HARRIS KAPIGA...(H.K)

HARRIS KAPIGA

NAME;HARRIS KAPIGA
NICK NAME;H.K-ONE
BIRTHDAY;APRIL 11
OCCUPATION;STUDENT(OPEN UNIVERSITY)
&PRESENTER
MEDIA;PRAISE POWER PLUS
HOBBIES;GOSPEL MUSIC&MOVIES

Tuesday, August 24, 2010

"FAKE PREGNANT" IN STORES SINCE YESTERDAY

FAKE PREGNANT(COVER)

Huu mzigo nilikwishawahi kuuweka hapa na kukutambulisha kwako..toka kampuni ya D-Production...sasa mzigo uko kitaa toka jana na unagombaniwa kama pipi,kama vipi hebu fanya upate nakala yako halafu ukodolee mimacho..

COMING SOON..."MORE THAN PAIN" THE MOVIE

MORE THAN PAIN(COVER)

Hii ni hatari bana...mchizi bado anadondosha mizigo mikali mfululizo..na sasa ni zamu ya "More Than Pain"..humo ndani kamtupia mtoto mantashau Lisa Jensen...ni Steven Kanumba na "Kanumba The Great Film"...hivi karibuni kitaani kwako...na bado, subiri "Uncle JJ" na "Morning Alarm" njiani..duh!!

A GOOD TUESDAY FOR CLOUDS TV...

ZAMARADI WITH LIL KIM

Leo hii kupitia clouds tv kutakuwa na launch ya vipindi vitakavyoanza kuruka,kipindi kitakachozinduliwa ni TATU BOMBA, MSANII WANGU, STEP UP PLAYATAKE ONE kinachoongozwa na Zamaradi Mketema, SPORTS BAR chini ya Shafii Dauda, Pj na Geofrey Leya, baadhi ya watu wamealikwa kwa ajili ya kushuhudia live na wewe uliye nyumbani utaona kupitia luninga yako (CLOUDS TV),Sasa kazi IMEANZA.

 
STEP UP PLAYER SHOW

Monday, August 23, 2010

ITS YOUNG MONEY AGAIN...PRESENTS...TYGA!!


Dogo anaitwa Michael Steveson but wewe wamjua zaidi kama TYGER....mashine ingine kutoka Young Money ambaye umri wake umenchekesha kidogo...eti ana miaka 20 tu...alizaliwa Nov 19 1989 Compton, Califonia US...huu ni mzigo wake wa pili....wa kwanza unaitwa "No Introduction"..ambayo hatuwezi iita albam hasa..ilikuwa ni kama mixtape tu ambayo aliiachia kwa awamu mbili...ya kwanza ilikuwa ni April na ya pili ilikuwa ni May 2008...But hii ndio kazi ambayo naamini itamtambulisha vizuri zaidi...na atatamba zaidi hata ya Drake(nionavyo mie)...Mzigo waitwa "Careless World" na utadondoka Sept 17(mwezi ujao tu) na tayari anafanya poa ile mbaya na "am on it"..kamtupia bosi wake pale kati...dah!!

BBA ALL STARS KURUKA BONGO FLEVA WIKI HII..

DJ STEVE B

Jmosi wiki hii..Dj Stive B kutoka Clouds fm atachapa ngoma kali za ukweli hasa Bongo flevas ndani ya mjengo wa BBA All Stars na kuwarusha washiriki wote mjengoni...huu ni utaratibu mpya wa BBA All Stars mwaka huu kuwafurahisha washiriki na kuwafanya wa-enjoy weekend kila jmosi kwa kuwaalika ma-djs mbalimbali toka nchi mbalimbali za Afrika kupiga ngoma mjengoni pale...safari hii ni zamu ya Bongo na Dj aliyebahatika kupata zali hilo ni Stive B aka Skillz...kazi kwenu fans kufuatilia na kuona chamno nini ambacho mchizi atakifanya....


STEVEN MDOE

GELLY WA RHYMES NDANI YA CHANNEL O...


Mshkaji ni kutoka lebel ya USWAZI inayomilikiwa na the no one music video director Adam Juma...anaitwa Gelly wa Rhymes...ulianza kumsoma vzr baada ya kuwa "video king" ktk video ya J.I "kidato kimoja"...sasa Gelly anatoka zaidi baada ya video ya wimbo wake "mzuri" kuwa nominated kwenye Awards za Channel O 2010 ktk category ya video bora toka East Africa...Witness pia amekuwa nominated na "Att please" na Shaa na "Zamu Yangu "...hii ni baada ya Lady Jay Dee, Witness na wengineo ambao wameshabahatika kupata tunzo hizo...endelea kupita hapa MNM ili kufahamu zaidi namna ya ku-vote ili mchizi ajichukulie mzigo huo si ndio???