LEO BARABARA ZOTE ZA JIJI LA DAR ES SA;AAM KUELEKEA MWENGE - TANGAZO
ANOINTED MINISTRY 2024
-
𝗘𝘄𝗲 𝗺𝘁𝘂 𝘄𝗮 𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 𝗵𝗶𝗶 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗻𝗶 𝗹𝗲𝗼 𝗹𝗲𝗼
𝗹𝗲𝗼 𝗹𝗲𝗼 𝘁𝗮𝗿𝗲𝗵𝗲 𝟮𝟬𝘁𝗵 𝗔𝗽𝗿𝗶𝗹 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗗𝗮𝗿 𝗲𝘀
𝗦𝗮𝗹𝗮...
Tuesday, January 18, 2011
IN R&B THANG....CHICO DEBARGE!!
Jina halisi ni Jonathan Athur..ambaye alizaliwa June 23 1966 Detroit Michigan US..ni mdogo wake na mmoja kati ya memba wa Motown Family Act Debarge...alianza kuimba miaka ya 80's akiwa chini ya Motown na albam yake ya kwanza "Chico Debarge"
ilibeba hit "Talk to Me"..hii ilitoka 1986...baada ya hapo ikafuata album ya pili "Kiss Serious" mwaka 1988...bahati mbaya akafungwa jela kutoka na dili za dawa za kulevya..akapotea kimuziki na akaachiwa katikati ya miaka ya 90's...
Akarudi Motown na akafanya albam "Long Time No See" mwaka 1997 ikafuata "The Game" mwaka 1999 na hakukaa sana akaondoka na kuhama lebel...akahamia Koch Records ambapo akaachia mzigo "2003's Free"...album ya sasa inaitwa "Addiction" ambayo aliiachia July 14 2009 chini ya Kedar Entertainment Group...mchizi ana watoto watano na tyr amekwisha mpa talaka mkewe aliyemzalia watoto wanne coz mtoto wa tano alizaa na mwanamuziki na muigizaji Nona Gaye.Its R&B Thang!!Kazi imeanza!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:59 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment