BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Friday, January 28, 2011

HAPPY BIRTHDAY BIG BRAH!!!


Happy Birthday kaka...but tambua kuwa nimekuzidi siku kumi na moja..teh teh teh!!Edwin Bashir aka Cuzin!!

ON "KIJA'S 15" THIS FRIDAY......


 On "Kija's 15" ijumaa hii...ni movies..movies..movies..za Bongowood and Hollywood...kibongobongo nazungumza na mchizi ambaye siku za nyuma alikuwa akijishughulisha na u-dereva wa taxi ambayo ni kama ameupotezea kwa sasa...na kutokana na hilo anaelezea jinsi game linavyolipa kwa sasa..anaitwa DAUDI MICHAEL TARIMO...msikilize pia yeye...


 Kimbelembele wiki hii nimeamua kucheki na movie ya kimalavidavi hivi...mzigo unaitwa "NO STRINGS ATTACHED"...mzigo ni mkali mwanzo mwisho...unaonesha namna ambavyo unatakiwa ku-behav pale mtu uliyekuwa nae kimapenzi anapoamua kuwa na mtu wako wa karibu...ni mzigo unaodhihirisha kuwa uhusiano wa kawaida kwa waliowahi kuwa "inlove" inawezekana.


Saa 10;30 jioni ya ijumaa hii...ndani ya "VUTA PUMZI" show ya BonSly..Ebony fm ndo mpango mzima..usiikose hii..

 

Thursday, January 27, 2011

NAWALETEA KWENU MANENO YA ATHMAN MUSSA "MWALUBADU"“Ninataka kuwaonyesha raia kuwa kazi naweza hata peke yangu  ndiyo maana nimemua kucheza komedi fupi yenye maana na inakwenda ZIFF kuonyeshwa huko katika tamasha kubwa zaidi mwezi wa saba, lengo langu kwa sasa ni kuwa muigizaji wa kimataifa”

Mwalubadu amesema kuwa anatarajia komedi hii kuwa ni tofauti kabisa na komedi ambazo amekuwa akionekana kwa sababu nyingi huwa hatungi yeye bali ushirikishwa tu lakini hii mtunzi ni mwenyewe,
Ntafanyia huku huku  Iringa kwa mara ya kwanza natolea mzigo huku.

Monday, January 24, 2011

IN "CAMPASS CONNECT" TONIGHT...


Ni bonge,bonge la latenyt show ambalo hutakiwi kulikosa...leo usiku..ktk "brokenheart" segment utasikia story ya kuumiza ya dada mmoja anaitwa Joyce...utamshauri pia ukipenda..na "Monday Love" leo topic inasema...unaamini katika love at the 1st sight ??kwamba inawezekana tu eti ile mara ya kwanza kumuona mtu then uka-fall papo hapo??au ni tamaa??ni mjadala mzuri ambao hakika utakufaa sana...katika tafsiri ya nyimbo leo niko na rekodi kali ile mbaya.."I was Made to Love u" by Gelard Levert..utaisikia maana yake kwa kiswahili...yote ni katika "Campas Connect" leo j3..saa 4;00-6;00 usk..kupitia 106.5 Mlimani redio..."Elimu Kwanza"