Makampuni 130 Afrika yapewa Tuzo
-
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TUZO za makampuni bora barani Afrika (ACOYA) zilizoandaliwa na The Global
CEOs Institute wakishilikiana na Eastern Sta...
Monday, March 29, 2010
RJ COMPANY
Hawa ndio Rj company,kiukweli jamaa wako serious kweli bwana na ndoto yao ya kuipeleka movie industry katika level za kimataifa naamini itatimia soon,hebu fanya hivi, tafuta movie yao yoyote and then itazame halafu utaniambia mwenyewe,inshort mi nawakubali sana tu,na sasa naisubiri kwa hamu "My Dreams".Pigeni kazi vijana,nawaamini.
Posted by RENATUS KILUVIA at 5:59 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment