KAKA
Leo tar 22 April ni birthday ya mshikaji hapo juu ambaye alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1982,star huyu anakipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania na pia timu ya taifa ya Brazil,jezi anayoivaa ni no 8.So kama unasheherekea birthday yako leo basi unashea birthday na superstar huyu wa soka.Blog ya burudani inawatakia wale wote wanasherehekea birthday zao leo Happy birthday.
Benki ya NBC Yazidua Akaunti ya Mfugaji Mahususi kwa Wadau wa Sekta ya
Ufugaji.
-
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua ‘Akaunti ya Mfugaji’ mahususi
kwa ajili ya wadau wa sekta ya ufugaji nchini wakiwemo wafugaji,
wanenepeshaji m...
1 comments:
Happy birthday Kaka!!
Post a Comment