J-MARTINS
Ijumaa hii nitakuwa na albam ya mchizi huyu kutoka pande za Nigeria ambaye hivi sasa yuko kwenye ardhi ya J.K akipiga tour yakutosha tu,albam inaitwa "Elevated".Usikose kupitia blog hii ya burudani ili kujua zaidi......au vipi!!!!
BALOZI NCHIMBI AZINDUA SHINA LA WAKEREKETWA WAJASIRIAMALI TARIME GROUP
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali, Tarime Group lenye wanachama
200, amb...
0 comments:
Post a Comment