Ni habari mpya nilizozipokea muda si mrefu kupitia mtandao mmoja nnaouamini sana,ishu ni hivi Beyonce Knowles a.k.a Mrs Sean Cuter ni "mja-mzito",ni baada ya watu kuvumisha sana siku za nyuma juu ya ishu hii but now ni kweli imetokea na mtu mzima Jay Z ame'comment kwa kusema kwamba ni kweli,amefurahi na anasubiri kwa hamu sana kuitwa baba toka kwa mkewe mpendwa "Diva" lakini hii haitakuwa mara ya kwanza kwa mkali huyo wa "Young 4eva" kuitwa mshua coz tayari alishafanya mambo kama haya kwa mademu wengine longtime,so tuiskilizie hii au vp???????
Mantra Yaelekezwa Kuwashirikisha Watanzania Uchimbaji wa Urani
-
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dkt. Janeth Lekashingo, ameitaka kampuni ya
Mantra Tanzania Limited, inayosimamia Mradi wa Uchimbaji wa Madini ya Urani
katik...
0 comments:
Post a Comment