Kesho ni "Super Friday" ndani ya Clouds fm "redio ya watu",na hiyo ni katika kusheherekea kitofauti hati ya kuwa super brand radio station iliyotunukiwa na kampuni ya Super Brand International ya nchini Uingereza...so ijumaa ya kesho itakuwa ni ijumaa maalum kabisa kwa redio hiyo kukumbuka ilikotoka kwa kuwaalika na kufanya vipindi walivyokuwa wanafanya wakati wa "struggle" baadhi ya watangazaji na madj waliowahi kupiga mzigo hapo(wengine bado wapo ila wanafanya shughuli zingine)...baadhi yao ni kama Terrence, Taji Liundi, Ray C, Judith Wambura(JayDee), Fina Mango, Seven, Bobby, ML Chriss, Boggie Master, Jimmy Kabwe, Sakina Lioka, Dj Bonnie Lov, Dj Venture, Dj Mully B, Mr D, Mr C na wengineo ambao wataweza kupatikana...kwa habari kutoka ndani kabisa ya kituo hicho zinasema kesho itakuwa ni siku ya kukumbukwa na ni siku ambayo hakuna msikilizaji atakayetakiwa kuikosa...ni "Super Friday" On the peoples station...
BALOZI DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NAMTUMBO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
akizungumza na umati mkubwa wa wananchi Namtumbo, kwenye mkutano wa hadhara
ul...
0 comments:
Post a Comment