DKT. TULIA AKOSHWA NA CRDB BANK MARATHON IKIKUSANYA BILIONI 2 KUSAIDIA AFYA
NA UWEZESHAJI JAMII
-
Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo
kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The
Green,...
Friday, November 19, 2010
HAPPY BIRTHDAY MY YOUNG SIS NEMY NIQY..
NEEMA KILUVIA aka NEMY NIQY
Leo Nov 19 ni siku muhimu sana kwa familia ya Mr&Mrs Kiluvia,coz kitinda mimba aka mziwanda aka lastborn Neema Kiluvia aka Nemy Niqy anakumbukia siku yake ya kuzaliwa..mimi kama brother na kwa niaba ya wana familia wote..namtakia birthday njema,Mungu amsaidie atimize yale yote anayoota kila siku...Happybirthday Ney..
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:32 AM 0 comments
Subscribe to:
Posts (Atom)