BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Friday, August 20, 2010

IN STORES SINCE 3rd AUG..."TRILL OG"...BY BUN B

TRILL OG(COVER)

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu...huyu ni mchizi anaitwa BUN B..ni mkali ile mbaya..sasa huu ni mzigo wake mwingine mpya unaitwa "TRILL O.G"...umeingia kitaa mwanzoni mwa mwezi huu..tar 3..binafsi bado sijausikiliza but ni shughuli ya weekend hii..kama vipi hebu shiriki nami basi tumsapoti mchizi huyu...

COMING SOON...."WOLFPACK PARTY" YA THE PACK...

THE PACK

Washkaji wanne wanafanya muziki wa HipHop...wanajiita The Pack..wanadondosha mzigo wao mpya kabisa Aug 24 Jumanne hii unaitwa "WOLFPACK PARTY"...mzigo una mikono kumi na tisa(19) mikali kinoma..hebu cheki na hawa madogo halafu tuone..

Wednesday, August 18, 2010

ZINANIKUMBUSHA MBALI..."THE CHRONIC" BY DR DRE

Released December 15, 1992
Recorded June 1992
Death Row Studios
(Los Angeles, California)
Bernie Grundman Mastering
(Hollywood, California)
Genre Hip hop, G-Funk
Length 62:52
Label Death Row, Interscope, Priority
P1-50611
Producer Dr. Dre, Suge Knight (exec.)
Dr. Dre chronology

The Chronic
(1992)
2001
(1999)

Singles from The Chronic
  1. "Nuthin' but a "G" Thang"
    Released: January 19, 1993
  2. "Fuck wit Dre Day"
    Released: May 20, 1993
  3. "Let Me Ride"
    Released: September 13, 1993

"IVETA" YA SAJNA IN STORES KESHO...


ALBUM TITLE: IVETA ARTIST: SAJNA RELEASE DATE: 19TH AUGUST 2010 EXECUTIVE PRODUCER: KID BWOY DISTRIBUTOR: GMC & UMOJA AUDIO VISUAL

ALBUM DETAILS:Album ya IVETA ya msanii SAJNA ina jumla ya nyimbo 10, ambayo ilianza kutengenezwa Mwezi January 2010 na kukamilika mwezi July 2010. Wasanii waliopata nafasi ya kushirikishwa katika album hii ni Belle 9, Linah wa THT, Josefly kutoka Musoma Mara pamoja na Pipi. Lengo la kutoshirikisha wasanii wengi sana ni kutaka kuonesha uwezo wake na kuthibitisha kwamba msanii mchanga si lazima atoke kwa kupitia mgongo wa wasanii wakubwa.
Studio na producers waliohusika kutengeneza nyimbo katika album hii ni pamoja na TETEMESHA RECORDZ chini ya KID BWOY, AB RECORDS chini ya AMBA, A2P chini ya SAM TIMBER, IMMORTAL MUSIC chini ya TRIS na M LAB chini ya DUKE.Single ya pili kutoka bado haijaamuliwa ila ni kati ya SITAKI KUUMIZWA na MBALAMWEZI, moja kati ya hizo itakayopendekezwa na wadau wengi ndio itakayofuata baada ya IVETA.
SONG LIST AS APPEARED ON CD COVER
1. Iveta 2. Sitaki Kuumizwa ft. Linah 3.Binadamu 4.Mbalamwezi 5.Udehule 6.Mganga ft. Josefly 7.Nadhifa 8.Roho Mbaya ft. Belle 9 & Pipi 9.Subira 10Ishara ya Msalaba
ALBUM ITATOKA KATIKA CD NA AUDIO CASSETTE
EXECUTIVE PRODUCER KID BWOY TETEMESHA RECORDZ

HAPPY BIERTHDAY TUNDAMAN..


Miaka kadha imepita tangu ulione jua..tar kama ya leo miaka ya themanini alizaliwa mchizi hapo juu...anaitwa Tundaman toka Tanga....na muziki anaofanyia pale TipTop Connection pande za Manzese hapa jiji la Lukuvi....so kama umezaliwa leo fan wangu jua unashea birthday na jamaa huyu..Happy Birthday TundaMan..