IJUMAA YA MECHI ZA PESA IMEFIKA
-
IKIWA leo hii ni tarehe 22 Novemba mechi nyingi za ligi zinarejea kuanzia
hapa nyumbani Tanzania mpaka kule Ulaya. Ushindi ni wako sasa bashiri na
Meri...
Friday, January 28, 2011
HAPPY BIRTHDAY BIG BRAH!!!
Happy Birthday kaka...but tambua kuwa nimekuzidi siku kumi na moja..teh teh teh!!Edwin Bashir aka Cuzin!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:40 AM 0 comments
ON "KIJA'S 15" THIS FRIDAY......
On "Kija's 15" ijumaa hii...ni movies..movies..movies..za Bongowood and Hollywood...kibongobongo nazungumza na mchizi ambaye siku za nyuma alikuwa akijishughulisha na u-dereva wa taxi ambayo ni kama ameupotezea kwa sasa...na kutokana na hilo anaelezea jinsi game linavyolipa kwa sasa..anaitwa DAUDI MICHAEL TARIMO...msikilize pia yeye...
Kimbelembele wiki hii nimeamua kucheki na movie ya kimalavidavi hivi...mzigo unaitwa "NO STRINGS ATTACHED"...mzigo ni mkali mwanzo mwisho...unaonesha namna ambavyo unatakiwa ku-behav pale mtu uliyekuwa nae kimapenzi anapoamua kuwa na mtu wako wa karibu...ni mzigo unaodhihirisha kuwa uhusiano wa kawaida kwa waliowahi kuwa "inlove" inawezekana.
Saa 10;30 jioni ya ijumaa hii...ndani ya "VUTA PUMZI" show ya BonSly..Ebony fm ndo mpango mzima..usiikose hii..
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:28 AM 0 comments
Thursday, January 27, 2011
NAWALETEA KWENU MANENO YA ATHMAN MUSSA "MWALUBADU"
“Ninataka kuwaonyesha raia kuwa kazi naweza hata peke yangu ndiyo maana nimemua kucheza komedi fupi yenye maana na inakwenda ZIFF kuonyeshwa huko katika tamasha kubwa zaidi mwezi wa saba, lengo langu kwa sasa ni kuwa muigizaji wa kimataifa”
Mwalubadu amesema kuwa anatarajia komedi hii kuwa ni tofauti kabisa na komedi ambazo amekuwa akionekana kwa sababu nyingi huwa hatungi yeye bali ushirikishwa tu lakini hii mtunzi ni mwenyewe,
Ntafanyia huku huku Iringa kwa mara ya kwanza natolea mzigo huku.
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:36 AM 0 comments
Monday, January 24, 2011
IN "CAMPASS CONNECT" TONIGHT...
Ni bonge,bonge la latenyt show ambalo hutakiwi kulikosa...leo usiku..ktk "brokenheart" segment utasikia story ya kuumiza ya dada mmoja anaitwa Joyce...utamshauri pia ukipenda..na "Monday Love" leo topic inasema...unaamini katika love at the 1st sight ??kwamba inawezekana tu eti ile mara ya kwanza kumuona mtu then uka-fall papo hapo??au ni tamaa??ni mjadala mzuri ambao hakika utakufaa sana...
katika tafsiri ya nyimbo leo niko na rekodi kali ile mbaya.."I was Made to Love u" by Gelard Levert..utaisikia maana yake kwa kiswahili...yote ni katika "Campas Connect" leo j3..saa 4;00-6;00 usk..kupitia 106.5 Mlimani redio..."Elimu Kwanza"
Posted by RENATUS KILUVIA at 5:57 AM 0 comments
Subscribe to:
Posts (Atom)