BALOZI NCHIMBI AWASILI MZUMBE MOROGORO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel Nchimbi
akipokelewa na Rais wa Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, CPA
Ludovick Utouh ...
Monday, January 24, 2011
IN "CAMPASS CONNECT" TONIGHT...
Ni bonge,bonge la latenyt show ambalo hutakiwi kulikosa...leo usiku..ktk "brokenheart" segment utasikia story ya kuumiza ya dada mmoja anaitwa Joyce...utamshauri pia ukipenda..na "Monday Love" leo topic inasema...unaamini katika love at the 1st sight ??kwamba inawezekana tu eti ile mara ya kwanza kumuona mtu then uka-fall papo hapo??au ni tamaa??ni mjadala mzuri ambao hakika utakufaa sana...
katika tafsiri ya nyimbo leo niko na rekodi kali ile mbaya.."I was Made to Love u" by Gelard Levert..utaisikia maana yake kwa kiswahili...yote ni katika "Campas Connect" leo j3..saa 4;00-6;00 usk..kupitia 106.5 Mlimani redio..."Elimu Kwanza"
Posted by RENATUS KILUVIA at 5:57 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment