Nafasi ya Ushindi Ipo Meridianbet Leo
-
LEO hii ni siku nzuri kwako wewe kubashiri na wakali wa ubashiri
Meridianbet. Mechi kibao za pesa zipo kwaajili yako hivyo suka jamvi lako
la ushindi ...
Thursday, January 20, 2011
STARTING TOMORROW..MY NEW SEGMENT IN "VUTA PUMZI" SHOW ON EBONY FM
Ni dakika chache sana kwa kuzifikiria kikawaida kichwani..but ni nzito na muhimu sana kwa ajili ya kuifungua weekend yako...ni segment yangu mpya itakayoanza ijumaa ya kesho na kila ijumaa ndani ya "Vuta Pumzi" show..si pengine ni EBONY fm (87.8..Iringa, 88.2..Moro&Dom na 94.7..Mbeya).."KIJA'S 15" ni live from Dar es Salaam Tanzania na hutakiwi kuikosa...bila hii bado hujaanza Weekend,itakuwa na nini ndani??bado ni surprize!!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:49 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment