BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Tuesday, January 18, 2011

IN R&B THANG....CHICO DEBARGE!!


Jina halisi ni Jonathan Athur..ambaye alizaliwa June 23 1966 Detroit Michigan US..ni mdogo wake na mmoja kati ya memba wa Motown Family Act Debarge...alianza kuimba miaka ya 80's akiwa chini ya Motown  na albam yake ya kwanza "Chico Debarge"
 ilibeba hit "Talk to Me"..hii ilitoka 1986...baada ya hapo ikafuata album ya pili "Kiss Serious" mwaka 1988...bahati mbaya akafungwa jela kutoka na dili za dawa za kulevya..akapotea kimuziki na akaachiwa katikati ya miaka ya 90's... Akarudi Motown na akafanya albam "Long Time No See" mwaka 1997 ikafuata "The Game" mwaka 1999 na hakukaa sana akaondoka na kuhama lebel...akahamia Koch Records ambapo akaachia mzigo "2003's Free"...album ya sasa inaitwa "Addiction" ambayo aliiachia July 14 2009 chini ya Kedar Entertainment Group...mchizi ana watoto watano na tyr amekwisha mpa talaka mkewe aliyemzalia watoto wanne coz mtoto wa tano alizaa na mwanamuziki na muigizaji Nona Gaye.Its R&B Thang!!Kazi imeanza!!

0 comments: