SERIKALI YALIPA FIDIA YA SHILINGI MILIONI 999 KWA WANANCHI 103 WA DODOMA
KWA MIRADI YA MAJI
-
Mkazi wa Nzuguni, Benjamini Elias akisaini katika daftari la fidia wakati
wa zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wa Nzuguni jijini Dodoma ambao maeneo
yao...
Wednesday, August 18, 2010
HAPPY BIERTHDAY TUNDAMAN..
Miaka kadha imepita tangu ulione jua..tar kama ya leo miaka ya themanini alizaliwa mchizi hapo juu...anaitwa Tundaman toka Tanga....na muziki anaofanyia pale TipTop Connection pande za Manzese hapa jiji la Lukuvi....so kama umezaliwa leo fan wangu jua unashea birthday na jamaa huyu..Happy Birthday TundaMan..
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:39 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment