BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Tuesday, July 13, 2010

HUYU NI "KIONE" aka MAKING JAZZ(MANKIJAZZI)

"KIONE"

Mchizi ana asili ya pale njiani kama unakuja Dar...maeneo ya Mlandizi-Kibaha...mchizi tayari amesharekodi ngoma kama sita hivi na bado kadhaa ili aweze kukamilisha albam yake ya kwanza...kanambia mzigo tayari una jina...unaitwa "Pembe tatu/Dk tatu"...mzigo mzima umetengenezwa na Mbando Kinyo,mixing na mastering imefanywa na jamaa anaitwa Doga kutoka Doga Records...kwakuwa muziki anaofanya hauna mashabiki wengi kivile bongo(Ragga), Kione ameamua kukomaa na ana-uhakika atarudisha heshima ya muziki huo Bongo,cha mwisho mchizi anaomba sapoti yenu mashabiki na wadau na anashukuru sana kwa sapoti kubwa anayoipata sasa kutoka "Mdhamini wa kweli Ent Inc" ambao ndio waliomfikisha hapo alipo leo hii...msikiizeni yeye pia...KIONE!!Hii ni Side "A"...

KITAANI SOON..."REMEMBER" THE MOVIE...

REMEMBER(MOVIE COVER)

Mzigo mwingine kutoka D-One Production...utakuwa kitaani kwako very soon..kama uungojee hivi kwa hamu coz dah!!sina cha kusema..Story...Joseph Ambukile...Script/Casting/Director...Daudi Michael...Camera...Faridu Nankape...Produced by...D-One Production...Edited by...Renatus Kiluvia...Executive Producer...Joseph Ambukile...............................................................
Starring....John Memba aka Jeff, Sarah Sudi, Joseph Ambukile

HAPPY BIRTHDAY DEBORAH COX & YOU.....

DEBORAH COX

Anaitwa Deborah Cox,mwanamuziki mwenye asili ya Canada aishie nchini Marekani,leo tar 13 July ni birthday yake,alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1974(amekula chumvi)...so kama nawe unasheherekea siku yako ya kuzaliwa leo basi tambua unashea birthday yako na star huyu...Happy Birthday Deborah Cox....