BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Monday, August 9, 2010

KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA KIFO CHA BABA YETU MR DANIEL JOTHAM KAOMBWE.

MR KAOMBWE(KUSHOTO)


MPENDWA BABA YETU MR DANIEL JOTHAM KAOMBWE, NI MIAKA (10)SASA TOKA SIKU ILE YA TAREHE 10/8/2000 ULIPOITWA KUJUMUIKA NA MUNGU WETU MBINGUNI.


SISI TUKIWA WANADAMU ILIKUWA VIGUMU KUKUBALI WITO SIKU ULIPOONDOKA,LAKINI TUNAFARIJIKA KILA SIKU KWANI TUNAYE MALAIKA WA MBINGUNI ANAYETUANGALIA NA KUTUTUNZA.

INGAWA KWELI KIMWILI HAUPO BALI KIROHO UPO NASI,NA KWAMBA SIKU MOJA TUTAJUMUISHWA PAMOJA

UNAKUMBUKWA NA MKE WAKO MPENDWA RESTITUTA KAOMBWE,WANAO RAINFRIDA KAOMBWE,BENEDICTO KAOMBWE,ALEX KAOMBWE,FELIX KAOMBWE NA MAXMILIANA KAOMBWE,WAJUKUU ZAKO,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPATA KUKUJUA NA KUSHIRIKIANA NA WEWE WAKATI WA MAISHA YAKO HAPA DUNIANI.

………BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE……