Oryx Gas Yasambaza Gesi kwa Bei Nafuu kwa Magereza – Elimu ya Usalama Pia
Yatolewa
-
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Safi Tanzania
(REA) wamezindua rasmi mradi mkubwa ambao utawafikia na kuwawezes...
Tuesday, July 6, 2010
PIPOOO!!!..COKO IZ BACK...!!!!
Jina lake halisi anaitwa Cheryl Clemons aka Coko ambaye alizaliwa tar 13 June 1970 huko Bronx NY,alikuwa ni muimbaji kiongozi wa kundi lililofanya poa sana miaka ya 90...SWV(Sisters With Voices)...baada ya kundi kuvunjika Coko akaanza kufanya kazi kama msanii wa kujitegemea(Solo Artist)...Najua hujamsikia muda mrefu sana...sasa kwa taarifa yako Coko is now back kwa hewa but...kivingine kabisa,Coko sasa AMEOKOKA..amempokea KRISTO kama BWANA na MWOKOZI wake.
...So Coko yuko tayari kabisa kukudondoshea mzigo mkali lakini sasa akiwa haimbi mapenzi tena,akikuimbia wewe na kukushawishi urudi nyuma na kuyafikiria upya maisha yako na hatma yake ili umfuate alipo yeye(uokoke)..J2 hii nimemshuhudia Coko akiimba katika kipindi cha SUNDAY GOSPEL cha BET...sasa kazi kwako..msikilize Coko sasa..
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:29 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment