BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Saturday, November 13, 2010

Monday, November 8, 2010

MBEYA...KAZI IMEANZA..NI EBONY FM PEKEE...

Ki-historia ni muziki ambao inasemekana haujawahi kutokea..but Ebony fm imebadili kabisa hali ya hewa ya burudani jijini Mbeya...MTIKISIKO 2010 "bata mreeefffffffff" sana ameliwa Mbeya jumamosi ya wiki iliyopita..ilikuwa ni noma..kwa udhamini wa VodaCom Tanzania,Kilimanjaro Premium Lager na PSI Tanzania...tazama down hapa>>>>

Muonekano wa stage wakati ikifungwa mchana...ni Ebony Entertainment banaaaa.......


Na hii ni namna ambavyo stage ilikuja kuonekana usiku mnene kwenye bataaaa....


Akhsanteni Mbeya kwa kutusapoti....here we are na burudani zitakuja zaidi na zaidi na zaidi


Visigino vya Twanga vilisuguliwa kama kawa...Twanga Pepeta on stage..


Linah kutoka THT..akiwakilisha kama kawa kama dawa pale kati..


Juma Kassim Kiroboto aka Juma Nature..mmoja kati ya wasanii wasiochuja hata kama hana ngoma mpya redioni..huu ndio ulikuwa moto wake..."msichana mtundu,msichana mtundu,msichana mtundu.".Dj Mubba "the proffessional" on the wheel of steel...schrachings!!
Sasa mpango mzima ni Jmosi hii Iringa town katika viwanja vya Samora...MTIKISIKO 2010.."bata mreeeeeeffffff" tutaendelea kumla pale..usiikose..