Rais Dkt. Samia Kuzuru Comoro Kesho
-
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku moja nchini Comoro kesho
Jumapili tar...
Ki-historia ni muziki ambao inasemekana haujawahi kutokea..but Ebony fm imebadili kabisa hali ya hewa ya burudani jijini Mbeya...MTIKISIKO 2010 "bata mreeefffffffff" sana ameliwa Mbeya jumamosi ya wiki iliyopita..ilikuwa ni noma..kwa udhamini wa VodaCom Tanzania,Kilimanjaro Premium Lager na PSI Tanzania...tazama down hapa>>>>
Posted by RENATUS KILUVIA at 7:43 AM 0 comments