MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UFADHILI WA MAENDELEO
NCHINI HISPANIA
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akihutubia Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4)
un...
Tuesday, July 6, 2010
HAPPY BIRTHDAY CARTIS JAMES JACKSON....
Mchizi ndo huyo hapo juu,anaitwa Cartis James Jackson aka 50 Cent,kutoka Shady-AfterMath,mchizi alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1975,so leo anagonga jiwe la thelathini na tano,kama ulizaliwa tar kama ya leo fan,jua unashea birthday na mchizi huyu,Happy birthday 50 Cent...
Posted by RENATUS KILUVIA at 3:56 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment