BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Thursday, July 22, 2010

OLD SKOOL..."ZHANE"....(JAH-NEY)

ZHANE

"Japo mshua alikuwa hajafanya mambo ili niwepo katika dunia hii..lakini si vibaya nami pia nikijitumbukiza kwenye Old Skool segment..wanaitwa Zhane..inatamkika Jah-Ney..ambao walifanya vizuri sana kuanzia mwaka 1993-1999..kundi liliundwa na wadada wawili Renee Neufville na Jean Norris-Baylor wote kutoka Philladelphia,Pennslyvania US..vipaji hivi vilivumbuliwa na Queen Latifah..katika kipindi hicho chote walipata nafasi ya kufanya albams mbili tu..Feb 15 1994 waliachia mzigo unaitwa "Pronounced Jah-Ney" ambao ulikwenda mpaka platinum..humo ndani kulikuwa na hits kama "Groove Back" na "Sending My Love"...halafu April 22 1997 wakaachia "Saturday Night"..baada ya kusambaratika Zhane..Jean Norris-Baylor alifanya albam moja kama msanii wa kujitegemea "Tesmony:My life" ambayo haikufanya vizuri sana..Renee Neufville yeye aliamua kujiunga na Roy Hargroves katika projects zake za mambo ya viwanda..najua unawamiss kama mshua anavyowamiss...Zhane"..JAH-NEY

0 comments: