BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Wednesday, August 25, 2010

"SUNRISE SHOW" YA TIMES FM NOW ON FACEBOOK

VICHWA VYA SUNRISE

Ni show inayogonga vichwa vya watu kibao hivi sasa hapa town,show ya asubuhi..zile time watu wanajongea kunako ofisi kuwajibika..kuanzia saa 12:00-3:00...Masoud kipanya(unamkumbuka nadhani), Scholastica Mazura, Michael Saduka na Shaaban Kondo katika hints za kimichezo..sasa wote hawa utaweza kuwapata kupitia ukurasa mpya wa kipindi katika facebook..hivyo kujua na pia kuweza kuchangia yanayozungumzwa..ni interactive show..so waweza changia kupitia ukurasa huo hata kama husikilizi redio kwa wakati huo...good job vijana.

0 comments: