USIKU WA KUPIGA MKWANJA NA EPL, LIGUE, NA COPPA ITALIA
-
KWA wale wote wanaobashiri na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya
Meridianbet kwa taarifa tu leo ni ile siku ya kupiga mkwanja kupitia ligi
ku...
Wednesday, December 22, 2010
KIMYA KINGI??....MNM NEW SEASON COMIN' SOON 2011...
Naweza sema ilikuwa ni kipindi kirefi na kimya kirefu sana japo nilikuwa nadondosha vitu kimachalechale sana...but now fans wa MNM Blog kaeni tyr kwa msimu mpya wa 2011...kama kawa kama dawa wale woote ambao mlimiss ishuz kibao...kama ma-infoz na ishu ka hizo stay tuned..narudi upya kabisa na segments za hatari na infoz za kumwaga..hiyo ni katika msimu mpya wa Muziki Na Maisha Blog 2011..MNM "here we stay"....
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:38 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment