BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Wednesday, March 24, 2010

Nakuaminia mkubwa!!!!!

Bonnie Zacharia katika studio za Ebony fm

Since long time namsikiaga huyu mchizi bana,but sikupataga bahati ya kumwona,nyuma kwenye miaka ya 2004 nlipata nafasi ya kwenda Musoma onetime na pia nkapata nafasi ya kula bata kidogo pale Metropole Disco lakini kwa bahati mbaya jamaa that day hakuingia mzigoni daaah!!!!!!Nakumbuka mshikaji wangu Dj Tass ndiye aliyekuwa mzigoni siku hiyo(Now he's doing ril gud pale Magic fm),lkn nakumbuka siku isiyokuwa na jina nikaibuka hapa mzigoni nikakutana habari kuwa leo hutafanya kipindi na "Mama Kiduchu" tena(aliyeshika show baada ya Bandago kuondoka),nkauliza ntafanya na nani???nkajibiwa kuna presenter mpya anaitwa Bonnie Zacharia,duh!!!!nkashtuka kidogo coz nlikuwa nishamzoea Aggie wng jamani,nkauliza ametoka wapi??nkajibiwa ametoka Musoma,nkajiuliza Musoma????4 the very 1st time nkasikia sauti yake na tukafanya kipindi vzr,mpk narudi zangu hom nlikuwa sijajua kuwa ndie Dj Bonsly nlokuwa namsikiaga,the next day nkaingia mzigoni tena bahati nzuri nkakutana na Mkurugenzi wng Mr. Evalist Mfugale,katika story za hapa na pale ndo akaniambia kuwa mchizi alikuwa V-fm na ana maujuzi ya kutosha sana katika mashine,sasa hapo ndo nkagundua kumbe Dj Bonsly ndo Bonnie Zacharia.Kaka nakuaminia sana kiukweli coz uko longtime kwenye game so naamini nna mengi ya kujifunza toka kwako,kazi nzuri,mtu poa na Mungu akuzidishie zaidi na zaidi na zaidi.

0 comments: