Ni habari mpya nilizozipokea muda si mrefu kupitia mtandao mmoja nnaouamini sana,ishu ni hivi Beyonce Knowles a.k.a Mrs Sean Cuter ni "mja-mzito",ni baada ya watu kuvumisha sana siku za nyuma juu ya ishu hii but now ni kweli imetokea na mtu mzima Jay Z ame'comment kwa kusema kwamba ni kweli,amefurahi na anasubiri kwa hamu sana kuitwa baba toka kwa mkewe mpendwa "Diva" lakini hii haitakuwa mara ya kwanza kwa mkali huyo wa "Young 4eva" kuitwa mshua coz tayari alishafanya mambo kama haya kwa mademu wengine longtime,so tuiskilizie hii au vp???????
BALOZI DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NAMTUMBO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
akizungumza na umati mkubwa wa wananchi Namtumbo, kwenye mkutano wa hadhara
ul...
0 comments:
Post a Comment