BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Thursday, April 15, 2010

HUYU NDO BANANA ZORRO BWANA!!

Banana Zorro
Kuna taarifa kuwa mwanamuziki(sio msanii) kutoka Tanzania na Rais wa bendi ya "kijasiriamali" The B-Band Banana Zahir Ally Zorro ana mpango wa kubadili aina ya muziki wake na kuanza kufanya muziki wa Rock and Roll,akizungumza hivi karibuni Banana amesema ameamua kubadili aina yake ya muziki ili kuwaletea ladha tofauti mashabiki wake na kufanya muziki anaoupenda zaidi,pia ametanabaisha kuwa muziki huo ndio uliomfunza kuimba wakati ule anasikiliza sana "kanda" alizokuwa nazo babake Mzee Zahir Zorro mwenyewe."Muziki huu ni mgumu sababu unahitaji skills za hali ya juu na vocos zenye nguvu,mimi nina kila kitu kwhy naamini hautanipa shida"amesema.Hebu tumsikilizie tuoneee!!!!!!

0 comments: