Mapinduzi Ya Kasino Mtandaoni, Tvbet Yaleta Uhalisia Mpya Ndani Ya
Meridianbet
-
ULIMWENGU wa kasino mtandaoni unaingia katika hatua mpya ya ubunifu, na
Meridianbet imejipambanua kama kiongozi wa mageuzi haya kwa kuunganisha
nguvu ...
Tuesday, May 18, 2010
HABARI NJEMA....
Hizi ni habari njema kwenu wadau wa blog hii ya burudani MNM,blog yenu inazidi kuboreshwa zaidi na zaidi,sasa twaweza kuchat kupitia blog hii,upande wa kulia wa blog kuna chat room kwa ajili yenu fans kufanya chochote mtakacho,isipokuwa matusi tu ndo hayahitajiki,pia kuanzia sasa tutakuwa na "video ya wiki" upande huo huo wa kulia wa blog,waweza kuclick na youtube itafunguka nawe kuweza kucheki hiyo video yetu ya wiki,na kuanza,leo tunaanza na video inayobamba kinoma ya mwanadada kutoka "Young MONEY" Nicki Minaj,kitu inaitwa "Massive Attack",ENJOY!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 5:13 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment