BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Wednesday, May 26, 2010

I'LL BE ON "KISS COLLABO MIX" SHOW(KISS FM) TOMORROW...


KISS COLLABO MIX SHOW LOGO

Fans wa MNM Blog hasa ambao mko hapa bongo(hata mbele pia),kesho alhamis nitakuwa na interview kwa njia ya simu na show kali "KISS COLLABO MIX" SHOW(Old Skool) ndani ya KISS FM,show huwa inaanza saa 3;00-6;00 Mchn,kwakuwa alhamis ni "Old Skool" spesho ktk show hiyo,basi chamno tutakachozungumza ni "HARAKATI" nzima ya muziki huu ambao leo unaitwa "BONGO FLEVA",kwa tuliobahatika kuwa ndani ya mchakato na kushudia HATUA kwa HATUA ya muziki huu tunazungumza nini,kesho ktk d' hottest KISS COLLABO MIX SHOW with EZDEN "the rocker",DJ SIMBA and MUHSEIN MAMBO(MC STOPA),fuatilia.........

0 comments: