BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Thursday, May 27, 2010

WELLKAM TO THE WORLD DEEN....


Muda si mrefu nimetoka kupata habari hizi kupitia facebook,na kama hiyo haitoshi pia nimetumiwa sms na mhusika mwenyewe,mtangazaji wa KISS fm na mdau mkubwa wa MNM Blog Ezden Jumanne aka The Rocker anayo furaha isiyo kifani kuitwa baba,Ezden amefanikiwa kupata "the most handsome baby boy" siku ya jana na amempa jina la "Deen",Ezden am proud and happy 4 u my boy,U R THE MAN,u proved it,U R THE MAN,kwa niaba ya fans wote wa MNM Blog tunaungana nawe katika wakati mzuri sana huu,karibu katika ulimwengu wa MAJUKUMU,teh!teh!teh!

0 comments: