BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Monday, May 24, 2010

MILAZO 101 IZ BACK KWA HEWA PIPOOOO!!!

MILLAD NA MAKO(MJ RECORDS)

Pipo ile craizy show "Milazo 101" ya Millad ndani ya Radio One imerudi rasmi katika season mpya jana j2,"Milazo 101" ambayo ilikuwa imesimama baada ya season ya kwanza kumalizika toka March now imerudi vizuri zaidi na mtayarishaji wa show hiyo Millad Ayo jana alisikika akipiga ngoma kali toka Afrika Mashariki na Mamtoni na kufanya mahojiano marefu zaidi na TID tofauti na season ya kwanza iliyokuwa na mahojiano mafupi kiasi,"fat 5" pia zilisikika kuanzia saa kumi na moja na nusu na mahojiano ya Usher Raymond na Eminem,pipo hiyo ndio "Milazo 101" so fresh so klen new season,twende nayo.

0 comments: