BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Wednesday, May 26, 2010

MNM BLOG INTRODUCING NEW SEGMENTS....

MILAZO 101

All fans wa MNM Blog,mambo yanazidi kuwa mambo,blog yetu ya burudani inazidi kuboreshwa na kufanya mambo makubwa zaidi,na sasa segments mbili mpya kuanza wiki hii na wiki ijayo pia,MNM Blog sasa iko kwa ukaribu zaidi na show nambari moja ya burudani BONGO hivi sasa,"Milazo 101" ya Redio One Stereo pamoja na mtayarishaji na mtangazaji wa show hiyo mtu mzima Millad Ayo,kitakachokuwa kinafanyika hapa ni hiki.....kila ijumaa kutakuwa na segment mpya "THIS SUNDAY ON MILAZO 101" na katika segment hii fans wote mtaweza kufahamu kwa mukhtasari tu nini kitafanyika katika Milazo 101 Show jumapili,ishu kama interviews zitakazofanyika na nini chamno ambacho kitazungumzwa ndani ya interviews hizo pamoja na kukumbushwa "FAT 5" za wiki iliyopita.Pia kila j3 kutakuwa na segment nyingine "MILAZO 101 FAT 5" ambapo itakuwa ni nafasi ya kuzijua "FAT 5" zilivyokuwa in case kama hukupata nafasi ya kusikiliza show."Milazo 101" show ni kila j2 saa 10;30-12;00jioni Radio One Stereo,Thanx Millad kwa ushirikiano wako na Muziki Na Maisha(MNM) Blog."MILAZO 101" so fresh so klen!!

0 comments: