Iringa pipo!!!!!, hii ni sehemu ingine ya ku-enjoy na kujifunza mengi kila j2 pale Shooters zamani Bottoms Up kuanzia kumi jioni mpaka nne usiku,ka-uchakavu ni buku mbili tu(2000),so! see u there this sunday.
ULINZI WAIMARISHWA KUELEKEA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2025
MKOANI MBEYA
-
Mbeya, 13 Oktoba 2025
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeimarisha ulinzi na usalama kwa kiwango
cha juu kuelekea kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa...
1 comments:
Well, Well, Well!!
Great to be here. Keep up the good work and STAY BLESSED.
Post a Comment