ORB OF DESTINY KASINO YENYE NJIA 14 ZA MALIPO
-
ORB OF DESTINY ni mchezo wa sloti kutoka kwa Hacksaw Gaming. Katika mchezo
huu wa kasino ya mtandaoni, unaleta mshangao mzuri. Kuna Wilds zenye nguvu
...
Monday, May 17, 2010
"THANK ME LATER" HAIKO KI-BUSSINES-DRAKE
Sijajua bado tatizo ni nini,sijui ni kutokujiamini ama lah,Drake anayetegemewa kudondosha mzigo wake mpya tar 15 ya mwezi ujao unaokwenda kwa jina la "Thank Me Later" amelonga katika moja ya interview zake kuwa albam hii haiko kibiashara kivile japo itauzwa kama kawa,sijamuelewa mchizi ana maana gani kusema hivyo coz hivi sasa yuko na ma-interviews ya kumwaga katika kuipromo albam hiyo,hebu ngoja tuone....
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:12 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment