BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Monday, April 12, 2010

MILAZO 101 YA MILLAD NEW SEASON ON MAY

Millad Ayo with Angelis
Show ni kali kwakweli na imepangika hasa,Milazo 101 ya Radio One na ambayo inafanywa na mtangazaji chipukizi na mkali Millad Ayo imesimama kidogo na itarudi rasmi katika season mpya kuanzia May mwaka huu,hii imekuja baada ya Millad mwenyewe kuwa likizo na show kukamatwa na Abdalah Mwaipaya kwa muda wa wiki tatu mfululizo,kwa sasa show ni non stop music kuanzia saa 10:30 mpaka 12:00 za jioni. 
Milazo 101 Logo.
Ninachoweza kusema ni kwamba fans wa Milazo 101 wataimiss sana show na tunaamini itarudi vizuri zaidi ya ilivyokuwa.Tunasubiri kwa hamu hiyo season mpya.Milazo 101 So fresh....So klean!!

0 comments: