Kutokana na maombi ya watazamaji kibao ambao hawakupata nafasi ya kucheki "tupo pamoja" show ya TTV wiki iliyopita,kwa kuwa wengi walikuwa karibu kufuatilia utoaji na upokeaji wa tunzo za Kilimanjaro Tanzania,kipindi cha "tupo pamoja" cha wiki iliyopita kitarudiwa leo,katika SIDE A alikaa kitini mtu mzima Ney wa Mitego na SIDE B aliwekwa "kitimotozz" mtayarishaji bora wa video Bongo(2008-2009) John Kallage wa Kallage Pictures,usikose show hii ya ukweli na mtu mzima ARNIE GIZZLE kwenye "kioo" chako mishale ya saa tatu kamili usiku,Don't Miss d' Show.TUPO PAMOJA.
TBS YAWASILISHA UTEKELEZAJI WA SERA YA KURUDISHA KWA JAMII
-
EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limepokea tuzo kutoka Taasisi ya
Foundation for Disabilities Hope, kutokana na desturi waliy...
0 comments:
Post a Comment