BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Monday, August 23, 2010

GELLY WA RHYMES NDANI YA CHANNEL O...


Mshkaji ni kutoka lebel ya USWAZI inayomilikiwa na the no one music video director Adam Juma...anaitwa Gelly wa Rhymes...ulianza kumsoma vzr baada ya kuwa "video king" ktk video ya J.I "kidato kimoja"...sasa Gelly anatoka zaidi baada ya video ya wimbo wake "mzuri" kuwa nominated kwenye Awards za Channel O 2010 ktk category ya video bora toka East Africa...Witness pia amekuwa nominated na "Att please" na Shaa na "Zamu Yangu "...hii ni baada ya Lady Jay Dee, Witness na wengineo ambao wameshabahatika kupata tunzo hizo...endelea kupita hapa MNM ili kufahamu zaidi namna ya ku-vote ili mchizi ajichukulie mzigo huo si ndio???

0 comments: