Oryx Gas Yasambaza Gesi kwa Bei Nafuu kwa Magereza – Elimu ya Usalama Pia
Yatolewa
-
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Safi Tanzania
(REA) wamezindua rasmi mradi mkubwa ambao utawafikia na kuwawezes...
Monday, August 23, 2010
GELLY WA RHYMES NDANI YA CHANNEL O...
Mshkaji ni kutoka lebel ya USWAZI inayomilikiwa na the no one music video director Adam Juma...anaitwa Gelly wa Rhymes...ulianza kumsoma vzr baada ya kuwa "video king" ktk video ya J.I "kidato kimoja"...sasa Gelly anatoka zaidi baada ya video ya wimbo wake "mzuri" kuwa nominated kwenye Awards za Channel O 2010 ktk category ya video bora toka East Africa...Witness pia amekuwa nominated na "Att please" na Shaa na "Zamu Yangu "...hii ni baada ya Lady Jay Dee, Witness na wengineo ambao wameshabahatika kupata tunzo hizo...endelea kupita hapa MNM ili kufahamu zaidi namna ya ku-vote ili mchizi ajichukulie mzigo huo si ndio???
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:27 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment