BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Friday, May 28, 2010

MNM'S ALBUM OF THE WEEK..B.O.B presents "THE ADVENTURES OF BOBBY RAY" by B.O.B

Juzi wakati nimeweka alert kuwa ijumaa hii nitakuwa na albam hii,kuna jamaa kanipigia simu akaniuliza nilikuwa wapi siku zote kupreview album ya mchizi huyu??teh!teh!teh!Haya mdau ni ijumaa kama kawa kama dawa,ktk albam of the week tunaucheki mzigo wa huyu mchizi hapa chini.

BOBBY RAY aka B.O.B
                                                    
Mzigo umetoka katika record lebel ya mtu mzima T.I "GRAND HUSTLE RECORDS" na umesimamiwa na Crada,Dr.Luke,The Smeezingtones,Jim Jones,Lil C,Alex da Kid,Polow Da don na Dj Frank E.Exucutive producer ni T.I na rasmi umedondoka kitaa April 27 mwaka huu.Mzigo umeshagonga mpaka namba moja katika Billboards Top 200 album chat na katika wiki ya kwanza tu kitaa watu 84,000 wakajichukulia kopi zao.Single ya kwanza ni "Nothing on You" ambayo iliachiwa Feb 2 na video yake iko nominated ktk category ya video bora ya mwaka kunako BET Awards 2010 na ya pili ni "Airplane" ambayo iliachiwa April 13 bado inasumbua na iko moto vibaya.

COVER ALBUM

Mchizi katumia miaka miwili kuutengeneza mzigo huu na labda ndio maana umeshika sana,sina uhakika na hilo,toka mwaka 2008 mpaka 2010 jamaa alikuwa studio akifanya kazi hii,una urefu wa dk 47 na sekunde 57,cheki mikonozz sasa,kuna "dont let mi fall", "nothing on you" feat;Bruno Mars, "past my shades" feat;Lupe Fiasco, "airplanes" feat;Hayley Williams&Paramore, "bet I" feat;T.I&Playboy Tre, "ghost in the machine", "the kids" feat;Janelle Monae, "magic" feat;Rivers Cuomo of Weezer, "fame", "lovelier than you", "5th dimension" feat;Rico Barino, "airplanes pt II" feat;Eminen&Hayley Williams.

BOBBY RAY

Mdau mimi wiki hii sisemi mengi,fanya hivi utafute mzigo huu halafu utanipa majibu yake,sibahatishi....

"MAKENGEZA" YANGU IJUMAA HII...

Wiki iliyopita nilikupa wanandugu wawili Beyonce na Solange,sasa leo ni hawa.....

LADY GAGA
                                                   
CHRISTINA AGUIRELA
                                        
Japo nimemsikia leo asubuhi katika E-News akisema hawaigani,Christina Aguilera chini,halafu juu ni Lady Gaga,mi naona kama wanafanana vile halafu wanaigana,au?????.......                                          

TONIGHT IN "TUPO PAMOJA" SHOW ON TTV...

ARNIE GIZZLE
                                          
Leo usiku katika show ya ukweli "tupo pamoja" ya TTV utashuhudia nini??endelea kusoma hapa........Arnie Gizzle katoa nafasi kwa chipukizi,atazungumza machache na jamaa wanajiita KVC(Kipunguni Vision Centre) ktk "SIDE A" na piaaaaaaaaaaaaaaa...........kama season one imekwisha vile?so ni wakati sasa wa kuiona crew nzima ya "tupo pamoja" show wakiizungumzia season nzima ya kwanza,producer BIG THOM na washkaji wengine wa nyuma ya kamera katika "SIDE B".Nakukumbusha,ni leo ijumaa saa tatu kamili usiku mpaka baadae,usiikose bana...

Thursday, May 27, 2010

WELLKAM TO THE WORLD DEEN....


Muda si mrefu nimetoka kupata habari hizi kupitia facebook,na kama hiyo haitoshi pia nimetumiwa sms na mhusika mwenyewe,mtangazaji wa KISS fm na mdau mkubwa wa MNM Blog Ezden Jumanne aka The Rocker anayo furaha isiyo kifani kuitwa baba,Ezden amefanikiwa kupata "the most handsome baby boy" siku ya jana na amempa jina la "Deen",Ezden am proud and happy 4 u my boy,U R THE MAN,u proved it,U R THE MAN,kwa niaba ya fans wote wa MNM Blog tunaungana nawe katika wakati mzuri sana huu,karibu katika ulimwengu wa MAJUKUMU,teh!teh!teh!

MILAZO 101 KWENYE MTANDAO NOW....

 Ile show nambari moja Bongo sasaivi "Milazo 101" ya Redio One now kwenye mtandao,so kwa wale wapenzi wa show hiyo walioko nje ya bongo na maeneo ambayo Redio One haisikiki sasa mtaweza kuisikia "Milazo 101" kupitia www.babkubwa.ning.com/profile/milazo 101,kazi kwenu sasa.....
 
 
 

Wednesday, May 26, 2010

I'LL BE ON "KISS COLLABO MIX" SHOW(KISS FM) TOMORROW...


KISS COLLABO MIX SHOW LOGO

Fans wa MNM Blog hasa ambao mko hapa bongo(hata mbele pia),kesho alhamis nitakuwa na interview kwa njia ya simu na show kali "KISS COLLABO MIX" SHOW(Old Skool) ndani ya KISS FM,show huwa inaanza saa 3;00-6;00 Mchn,kwakuwa alhamis ni "Old Skool" spesho ktk show hiyo,basi chamno tutakachozungumza ni "HARAKATI" nzima ya muziki huu ambao leo unaitwa "BONGO FLEVA",kwa tuliobahatika kuwa ndani ya mchakato na kushudia HATUA kwa HATUA ya muziki huu tunazungumza nini,kesho ktk d' hottest KISS COLLABO MIX SHOW with EZDEN "the rocker",DJ SIMBA and MUHSEIN MAMBO(MC STOPA),fuatilia.........

FRIDAY ON MNM's ALBUM OF THE WEEK...

B.O.B....THE ADVENTURES OF BOBBY RAY(COVER ALBUM)

Don't ever!ever!ever!dare to miss this.....

MNM MEETS.........CONNY K. KAMANYA...

CONNY K.

NAME;CONNY K. KAMANYA
NICK NAME;CUTE CONNY
OCCUPATION;NURSERY SKOOL STUDENT
LOCATION;MIKOCHENI(DAR)
BIRTHDAY;6 Sept' 2006
HOBBIES;MUSIC,MOVIES,SWIMING&MODELING

MNM BLOG INTRODUCING NEW SEGMENTS....

MILAZO 101

All fans wa MNM Blog,mambo yanazidi kuwa mambo,blog yetu ya burudani inazidi kuboreshwa na kufanya mambo makubwa zaidi,na sasa segments mbili mpya kuanza wiki hii na wiki ijayo pia,MNM Blog sasa iko kwa ukaribu zaidi na show nambari moja ya burudani BONGO hivi sasa,"Milazo 101" ya Redio One Stereo pamoja na mtayarishaji na mtangazaji wa show hiyo mtu mzima Millad Ayo,kitakachokuwa kinafanyika hapa ni hiki.....kila ijumaa kutakuwa na segment mpya "THIS SUNDAY ON MILAZO 101" na katika segment hii fans wote mtaweza kufahamu kwa mukhtasari tu nini kitafanyika katika Milazo 101 Show jumapili,ishu kama interviews zitakazofanyika na nini chamno ambacho kitazungumzwa ndani ya interviews hizo pamoja na kukumbushwa "FAT 5" za wiki iliyopita.Pia kila j3 kutakuwa na segment nyingine "MILAZO 101 FAT 5" ambapo itakuwa ni nafasi ya kuzijua "FAT 5" zilivyokuwa in case kama hukupata nafasi ya kusikiliza show."Milazo 101" show ni kila j2 saa 10;30-12;00jioni Radio One Stereo,Thanx Millad kwa ushirikiano wako na Muziki Na Maisha(MNM) Blog."MILAZO 101" so fresh so klen!!

Tuesday, May 25, 2010

TOMORROW ON "MNM MEETS".....Dn't miss it!!

???????

NAS NA DAMIAN MARLEY WATUMIA KISWAHILI KTK "AS WE ENTER"..

DISTANCE RELATIVES(ALBUM COVER)

Mdau mambo vp??leo nakuja na hii,jana usiku wakati niko home nimejipumzisha baada ya pilikapilika za kutwa nzima nikawa nacheki 106&PACK Show(no 1 music countdown show) ya BET,nikapata bahati ya kumwona Nas Escoba na Damian Marley wakiitangaza albam yao ya pamoja "Distance Relatives" ambayo inaingia sokoni leo kwa soko la USA pekee kabla haijatoka nje zaidi,wakazungumza mengi ambayo nitakujuza siku ingine but kilichonishtua zaidi ni pale ilipochezwa video kwa mara ya kwanza ya wimbo wao mpya "As we enter" na katika wimbo huo mimi kusikia maneno kadha ya kiswahili fasaha kabisa,katika verse ya pili kama sikosei kuna sehemu Nas anamwambia Damian Marley "habari gani" na Damian Marley anajibu "muzuri sana",duh,wakati wasanii wetu wanapata wazo la kuanza kuchanganya kiingereza ili kwenda kimataifa,watu walio kimataifa wanaanza kuchanganya kiswahili ili kukitanua zaidi.Kazi kwelikweli.

Monday, May 24, 2010

DIAMOND KUWA MAKINI KWENYE AREA ZA WATU....

Mshindi wa tuzo za Kilimanjaro 2010 Diamond anusurika kupokea kichapo nje ya ukumbi wa st.dominic Iringa baada ya kutaka kumpiga DJ Muba na msanii wa vichekesho Athuman Mussa a.k.a Mwalubadu ambaye pia ni mtangazaji wa Ebony fm Iringa.

DIAMOND AKIPERFOM MISS IRINGA

Diamond alifikia hatua hiyo ya kufanya fujo kubwa katika ukumbi huo baada ya kumaliza kuimba na kushuka jukwani na akiwa nje ya ukumbi huo alimtukana matusi ya nguoni kwa kutumia ishara ya kidole Mbarouk Salum maarufu kama DJ Muba ambaye alikuwa akipiga muziki katika ukumbi huo.


DJ MUBA ON THE 1'N'2

Hatua ya msanii huyu kumtukana DJ Muba ilionyesha kuwakwaza mashabiki wa DJ huyo ambao wamekuwa wakimtegemea katika tasnia ya burudani ndani ya mkoa wa Iringa kwa kupitia kituo cha Radio Ebony Fm na ukumbi wa club V.I.P wa mjini hapo hali iliyopelekea mashabi hao kuanza kumshambulia msanii huyo Diamond kwa kumwita mchanga sana katika sanaa hiyo na kuwa tuzo ya Kilimanjaro isimfanye matawi ya juu pamoja na kumweleza ukweli kuwa DJ Muba ni maarufu mara 100 kwake hivyo asitake kujifanyanisha na DJ huyo kauli zilizomkwaza msanii huyo Diamond.Ebwanaee next time uwe makini area za watu bwana.ohhhooo!!


MWALUBADU.

HAWA NDIO NOMINEES WA BET AWARDS 2010.

BET

Award za BET tayari zimeshatangazwa wadau,ni j2 ya tar 27 mwezi ujao tu,awards za mwaka huu zitafanyika Shrine Auditorium in L.A Califonia,Mc atakuwa ni Queen Latifah,categiries ziko kama ifuatavyo;

Best Female R&B Artist
Beyoncé
Mary J. Blige
Melanie Fiona
Alicia Keys
Rihanna
Best Male R&B Artist

Chris Brown
Raheem DeVaughn
Maxwell
Trey Songz
Usher
Best Gospel

The Anointed Pace Sisters
Kirk Franklin Presents Artists United For Haiti
Tamela Mann
Marvin Sapp
Vickie Winans
Best Female Hip Hop Artist

Ester Dean
Lil Kim
Nicki Minaj
Rasheeda
Trina
Best Male Hip Hop Artist

B.o.B.
Drake
Fabolous
Jay-Z
Ludacris
Best Group

Black Eyed Peas
Clipse
Diddy-Dirty Money
New Boyz
Young Money
Best New Artist
Justin Bieber
Melanie Fiona
Nicki Minaj
Wale
Young Money
Best Collaboration

Beyoncé f/ Lady Gaga – Video Phone
B.o.B. f/ Bruno Mars – Nothin’ On You
Drake & Trey Songz – Successful
Drake f/ Lil Wayne, Kanye West & Eminem – Forever
Jay-Z & Alicia Keys – Empire State of Mind
Trey Songz f/ Fabolous – Say Aah
Video of the Year

Beyoncé f/ Lady Gaga – Video Phone
B.o.B. f/ Bruno Mars – Nothin’ On You
Melanie Fiona – It Kills Me
Jay-Z & Alicia Keys – Empire State of Mind
Jay-Z, Rihanna & Kanye West – Run This Town
Video Director of the Year
Benny Boom
Gil Green
Anthony Mandler
Chris Robinson
Hype Williams
Best Actress
Taraji P. Henson
Regina King
Mo’Nique
Zoe Saldana
Gabourey Sidibe
Best Actor
Quinton Aaron
Don Cheadle
Idris Elba
Jamie Foxx
Denzel Washington
YoungStars Award
Selena Gomez
Lil JJ
Keke Palmer
Willow Smith
Tyler James Williams
Best Movie
Avatar
Law Abiding Citizen
Michael Jackson’s This Is It
Precious: Based on the Novel ‘Push’ by Sapphire
The Blindside
Subway Sportswoman of the Year
Tamika Catchings
Vanessa James
Candace Parker
Serena Williams
Venus Williams
Subway Sportsman of the Year
Carmelo Anthony
Usain Bolt
Kobe Bryant
LeBron James
Tiger Woods
Viewers Choice Nominees
Beyoncé – Sweet Dreams
Jay-Z & Alicia Keys – Empire State of Mind
Monica – Everything To Me
Rihanna f/ Young Jeezy – Hard
Trey Songz f/ Fabolous – Say Aah
Young Money (Lil Wayne, Gudda Gudda, Nicki Minaj, Jae Millz, Drake, Tyga) f/ Lloyd – Bedrock
Centric Award
Melanie Fiona
Maxwell
Chrisette Michele
Monica
Sade
Best International Act
Kojo Antwi (Ghana)
Chipmunk (UK)
Dizzee Rascal (UK)
Estelle (UK)
Hip Hop Pantsula (HHP) (South Africa)
K’NAAN (Somalia)
M.I. (Nigeria)
P-Square (Nigeria)
Corinne Bailey Rae (UK)
Sade (UK)

Mbali na Nominees hao pia kutakuwa na showz za kukata na shoka,baadhi ya wasanii ambao tayari wamekwishatajwa ni pamoja na Monica,Nicki Minaj,Ludacris,Trina,Chrisette Michele na Ester Dean.

MILAZO 101 IZ BACK KWA HEWA PIPOOOO!!!

MILLAD NA MAKO(MJ RECORDS)

Pipo ile craizy show "Milazo 101" ya Millad ndani ya Radio One imerudi rasmi katika season mpya jana j2,"Milazo 101" ambayo ilikuwa imesimama baada ya season ya kwanza kumalizika toka March now imerudi vizuri zaidi na mtayarishaji wa show hiyo Millad Ayo jana alisikika akipiga ngoma kali toka Afrika Mashariki na Mamtoni na kufanya mahojiano marefu zaidi na TID tofauti na season ya kwanza iliyokuwa na mahojiano mafupi kiasi,"fat 5" pia zilisikika kuanzia saa kumi na moja na nusu na mahojiano ya Usher Raymond na Eminem,pipo hiyo ndio "Milazo 101" so fresh so klen new season,twende nayo.

LIZINGATIWE HILI...

AKHSANTENI KWA MAONI YENU WADAU WOTE,SIKUHITAJI UGOMVI WALA MATUSI,NILIHITAJI MJADALA,MIMI SIJAKAMILIKA,NAWEZA KUWA SIKO SAHIHI PIA,NALIKUBALI HILO,BLOG HII SI YA KUUZIA SURA NA KUJIFANYIA UPENDACHO,NI BLOG INAYOFUATA TARATIBU ZOTE ZA KIUANDISHI JAPO NI YA BURUDANI,WASWAHILI HUSEMA "WABABE WANAPIGANA KWA NGUMI,WASWAHILI KWA MANENO NA WEREVU KWA NGUVU YA HOJA",NAOMBA TUWE WEREVU,AKHSANTENI NA MUNGU AWABARIKI WALE WOTE WALIO'COMMENT,EMAIL,SIMU NA KUNI'SMS PIA,LENGO LETU NI MOJA,KUUPELEKA MUZIKI MBELE,TUPO PAMOJA.BY RENATUS(BIZZO)


NB;SITAFUTI UMAARUFU HAPA,AM JUST DOIN' MY JOB,NAAMINI UMAARUFU BILA BUSARA NI SAWA NA PANGA ZURI LISILO NA MAKALI,NIELEWEKE HIVYO TAFADHALI.