Miaka miwili iliyopita ulikuwa rafiki yangu sana,nakumbuka tulikuwa tunapiga stori hata mpk saa saba za usiku,kiukweli nilikuwa na wakati mzuri sana,nilifurahi na kuenjoy ile mbaya,u r cute,charming and kind,lakini kwanini siku hizi hunikumbuki???nilikukosea nini???nambie niseme SORRY,simu yako haipatikani,nadhani umebadili namba,kwanini???nikumbuke basi jamani???mimi nakukumbuka sana coz daily lazima nipite kiduchu.blogspot japo kukuona tu.NIMEKUMISS.
RAIS SAMIA AKIWA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA
ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa Uh...
0 comments:
Post a Comment