BALOZI DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NAMTUMBO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
akizungumza na umati mkubwa wa wananchi Namtumbo, kwenye mkutano wa hadhara
ul...
Wednesday, March 31, 2010
MOTO MKUBWA NYIMBO ZA INJILI PASAKA HII KANDA YA ZIWA
Mkurugenzi wa MSAMA PROMOTION Mr. Alex Msama
Msama Promotion wameandaa Tamasha kubwa la nyimbo za kumsifu Mungu litakalofanyika sikukuu ya PASAKA Kuanzia Tarehe 4 Aprili 2010 mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Mara. Akiongea hivi karibuni Mkurugenzi wa Msama Promotions ndugu Alex Msama amesema hivi karibuni ”Tamasha lililopita lililofanyika Diamond Jubilee sikukuu ya Krismas ni mwanzo mzuri wa matamasha yatakayofanyika Shinyanga uwanja wa Kambarage, Mwanza uwanja wa CCM Kirumba na Musoma uwanja wa Karume, viingilio ni sh 2000 kwa kila mmoja”
Amewataja waimbaji watakaoimba siku hiyo ni Rose Muhando, Upendo Nkone, Solomon Mukubwa, Peace Muiru kutoka Kenya na waimbaji kutoka Kanda wengi toka kanda ya ziwa.Kazi kwenu wakazi wa kanda ya ziwa,i wish ningekuwepo mwanawane!!!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 2:22 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Kaka nimesoma blog yako ni nzuri, ina unatakiwa unapotumia picha ambayo siyo yako jitahidi kusema kuwa umeipata wapi. Kwa mfano picha hii ilipigwa Global Publishers na kutumika katika tovuti yake na nyingi blog ya www.kabulageorge.blogspot.com
Post a Comment