RC MTANDA AZINDUA BODI YA NANE YA YA MAJI BONDE LA ZIWA VICTORIA
-
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameitaka bodi mpya ya Bonde la ziwa
Victoria kusimamia menejimenti ya bonde la ziwa hilo ili iwajibike ipasavyo...
Monday, March 29, 2010
HAPPY BIRTHDAY DI' DADA!!
Japo hujasema ni kalenda ya ngapi umechana leo lakini kwangu sio ishu,mi nakutakia tu uchane kalenda mia zaidi na kila ndoto unayoota iwe kweli,happy birthday bi' dada!!!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:18 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Hongera Agness!
ha ha ha...ahsante jamani kija, ndoto nyingine za kutisha bwana...sasa zikiwa kweli ntaishi kweli nduguyo? hahaa haa. ubarikiwe saaana kaka...pa1
Post a Comment