Ushindi Mkubwa Upo Mikononi Mwako Leo
-
KAMA kawaida leo hii ni siku nyingine ya wewe kuhakikisha kuwa unaondoka na
mnkwanja wa maana. Mechi kibao zinakusubiri uweze kusuka jamvi la uhakika
...
Tuesday, March 30, 2010
S'KIKA NEW SEASON IS BACK(NOW ON EAST AFRICA)
Ile show ya ukweli,nnayoiamini "S'kika" a.k.a "be heard" imerudi tena katika season mpya kupitia palepale CHANNEL O "viewer's edition",na sasa ni home sweet home East Africa,show inaanza kwa kucheki maisha ya wanamuziki mastaa wa Kenya,utaanza kuwacheki KALAMASHAKA halafu JUACALI baada ya hapo ni AMANI,CANIBAL na wengine kibao,mzigo ukimalizwa pande hizo show itatimba Uganda and then Bongo,so ukipata time cheki channel O uoneeeee!!!!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:44 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment