MWANZA YAZINDUA KAMPENI ELIMU KWA UMMA MRADI WA UJENZI WA MINARA 758
MAWASILIANO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Hassan Masala,kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza, Said Mtanda, akizungumza na viongozi wa serikali wakiwemo wa vyama
vya sias...
Tuesday, March 30, 2010
S'KIKA NEW SEASON IS BACK(NOW ON EAST AFRICA)
Ile show ya ukweli,nnayoiamini "S'kika" a.k.a "be heard" imerudi tena katika season mpya kupitia palepale CHANNEL O "viewer's edition",na sasa ni home sweet home East Africa,show inaanza kwa kucheki maisha ya wanamuziki mastaa wa Kenya,utaanza kuwacheki KALAMASHAKA halafu JUACALI baada ya hapo ni AMANI,CANIBAL na wengine kibao,mzigo ukimalizwa pande hizo show itatimba Uganda and then Bongo,so ukipata time cheki channel O uoneeeee!!!!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:44 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment