Media patner wa Channel O "Conscious Soul Ent" na "Urbun Phenomenon Ent" wanamleta American Rapper "Canibus" live ndani ya Bassline Newtown South Africa Ijumaa kuu hii ya tar 2.
Mchizi ana asili ya Senegal pia(kama Akon) na alianza mapema sana akiwa karibu zaidi na memba wa zamani wa Fugeez "Wyclef Jean" jamaa pia alishawahi kuwa ndani ya beef zito na mkongwe LL Cool J kipindi fulani hivi,alishawahi kupiga mzigo na washkaji kibao kama Wyclef Jean mwenyewe,Kurupt toka Dog Pound,Rass Kass,Kool G Rap,Keith Murray,Heltah Skeitah,Jed Mind Tricks,Redman,R.Kelly na machizi wengine kibao.Kama wallet iko poa hebu jisogeze tuoneee!!!
Ruby Play Yafungua Burudani ya Kasino Ndani ya Meridianbet
-
KUNA wakatia burudani hubadilika na kuwa uzoefu kamili, ndipo Ruby Play inapokutana
na Meridianbet. Ushirikiano huu mpya unaanzisha sura tofauti kabisa ...




0 comments:
Post a Comment