ZAIDI YA WAFANYABIASHARA 100 KUHUDHURIA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI
NCHINI ISRAEL
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Zaidi yawafanyabiashara na wajasiriamali 100 kutoka nchini wanatarajia
kuhudhuria jukwaa maalumu la kimataifa linalohusu maswa...
Thursday, April 1, 2010
DJ CHANCY nakukumbuka sana kaka!!!!!
Dj Chany(Tripple "A")
Kaka nakukumbuka sana kaka,wakati nafanya field 87.5 Kili fm-Moshi mwaka 2007 tulikuwa karibu sana,nilikuwa nawe katika shows karibu zote ulizokuwa unafanya pale,naikumbuka show moja kali sana ulikuwa unaifanya na FDK-One "The Storm" mchana kuanzia 8:00-10:00 jioni,wewe ni mkali sana na naamini ukali wako umezidi mara dufu sasa kwakuwa uko na wanaoijua kazi hasa (Tripple "A" fm).Nakutakia kazi njema ya usukumaji wa gurudumu la burudani huko pande za A-Town.
Posted by RENATUS KILUVIA at 3:48 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Safi kabisa karibu sana ndugu hapo umetufikisha penyewe haswaaa.
Post a Comment