MWENGE WA UHURU WARIDHISHWA NA MIRADI 26 YA MAENDELEO MKOA WA PWANI WAMPA
KONGOLE RC KUNENGE
-
*NA VICTOR MASANGU,DAR *
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka wa 2024 Godfrey Msava
amewapongeza kwa dhati viongozi mbali mbali wa Mk...
Thursday, May 20, 2010
USIKU WA REGGE(MUSIC LIVE)
Huu ni upendeleo mwingine kabisa kwa wakazi wa Iringa(I town),usiku wa regge now ndani ya ukumbi wa IDYC(zamani MAKOSA) jumapili hii,live band huku zikipigwa ngoma mbalimbali za legendaries wa regge duniani kama Robert Nesta Marley(Bob Marley) na wengineo wengi,pia bata mdogo mdogo kwa kwenda mbele,usiikose hii mwana,"kauchakavu" mlangoni ni buku tatu tu za kibongo kuanzia saa mbili usiku mpaka "mswaki",tukutane pale.
Posted by RENATUS KILUVIA at 3:16 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment