SANAMU YA UHURU WA BRAZIL YAANGUSHWA NA UPEPO MKALI.
-
*Kielelezo cha Sanamu ya Uhuru kilianguka wakati wa dhoruba kali kusini mwa
Brazili, na kusababisha kutolewa tahadhari kupitia taharuki na wasiwasi
mk...
Monday, June 28, 2010
SUGU MIKONONI MWA POLISI...
Hizi ni habari ambazo nimezipokea si muda mrefu sana,Mr ii aka SUGU amekamatwa na polisi leo asubuhi akijiandaa kwenda kwenye kikao cha press talk katika ukumbi wa Balaza la Sanaa la Taifa(BASATA),mpaka sasa haijafahamika sababu za kukamatwa kwa mkongwe huyo wa muziki wa Hiphop nchini..endelea kuwa hapa kwa habari zaidi....saurce:michuzijr.blogspot.com
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:35 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment